Saturday, 4 September 2010

WANAWAKE NA HARAKATI ZA UCHAGUZI MKUU 2010


Martha Mlata mbunge wa viti maalum Singida akiomba kura kwa wananchi wa jimbo lake kwa kunadi sera zake kiufasaha na umakini mkubwa  , hii inadhihirisha kwamba wanawake sasa wamedhamilia kuleta mabadiliko , hakuna wanachoshindwa sema hawajawezeshwa..
  KINA  MAMA  OYEEEEEEEEE ..

No comments:

Post a Comment