Saturday 5 May 2012

Hawa ndiyo wabunge na mawaziri kama siyo maraisi wa baadae, wanakua na kuishi kimungu mungu.. Musoma vijijini-KWIKUBA..
Baadhi ya watoto wenye watoto wakisubiri huduma ya afya bila uhakika kama watapata.